Jumapili, 6 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu | Watu! Furahini!

Mwenyezi Mungu alisema, Katika nuru Yangu, watu wanaona nuru tena. Katika neno Langu, watu wanapata vitu vya raha. Nimekuja kutoka Mashariki nami Natoka huko. Wakati ambapo utukufu Wangu unang'aa, mataifa yote yanaangaziwa, vitu vyote vinaletwa katika nuru, hakuna kitu kinachobaki katika giza. Katika ufalme, maisha ya watu wa Mungu pamoja na Mungu ni ya furaha isiyolinganishwa. Maji yanacheza kwa ajili ya maisha ya watu yaliyobarikiwa, milima inafurahia utele Wangu pamoja na watu. Wanadamu wote wanajitahidi, wakifanya kazi kwa bidii, wakionyesha uaminifu wao katika ufalme Wangu. Katika ufalme, hakuna uasi tena, hakuna upinzani tena; mbingu na dunia vinategemeana, Mimi na mwanadamu tuko karibu nasi tunahisi kwa kina, kupitia furaha kuu za maisha, tukiegemeana.... Wakati huu, Naanza rasmi maisha ya mbinguni. Kuingilia kwa Shetani hakuko tena, na watu wanaingia katika pumziko.

Jumamosi, 5 Mei 2018

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu

 Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu

Akizungumza kuhusu kurudi kwa Bwana, Bwana Yesu alisema, “Kuweni tayari pia: kwani Mwana wa Adamu atakuja wakati ambapo hamfikiri” (Luka 12:40). "Kwani kama umeme, umulikao kutoka sehemu moja chini ya mbingu, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Lakini kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17:24-25). Unabii huu unataja "Mwana wa Adamu atakuja" au "kuja kwa Mwana wa Adamu," kwa hiyo ni nini hasa kinamaanishwa na "kuja kwa Mwana wa Adamu"? Bwana Yesu atarudi kwa njia gani? Filamu hii fupi itakufichulia ukweli.

"Kusubiri" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000

"Kusubiri" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000

Bwana Yesu alifichua siri za ufalme wa mbinguni, na Mwenyezi Mungu alikuja kufunua siri zote za usimamizi wa wanadamu wa miaka 6,000! Je, unaweza kutambua kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu kwa kutazama siri ambazo Mwenyezi Mungu amezifunua? Tazama video hii fupi!

Ijumaa, 4 Mei 2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2)

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2)

"Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa"(Ufunuo 2:29). Umemskia Roho Mtakatifu Akizungumzia makanisa? Je, maneno yaliyosemwa na Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu yametamkwa na Roho mmoja, kutoka kwa chanzo kimoja? Video hii fupi itakuonyesha haya!

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (5) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (1)

Alhamisi, 3 Mei 2018

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (4) - Mwisho ya Wale Ambao Wanapinga Kuja Mara ya Pili kwa Bwana

Gospel Movie Clip "Kusubiri" (4) - Mwisho ya Wale Ambao Wanapinga Kuja Mara ya Pili kwa Bwana

Je, anawezaje kumuona Bwana akionekana lakini bado anakataa kukubali kuja kwa mara ya pili kwa Bwana? Anawezaje kuwa daima anakesha na kungoja Bwana aje, lakini wakati wa kifo chake anaacha majuto ya maisha? Video hii fupi itakuambia majibu.