Gospel Movie clip "Kusubiri" (3) - Wale Tu Ambao Wanafuata Mapenzi ya Mungu Ndio Wanaweza Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
Ni mtu wa aina gani atanyakuliwa katika ufalme wa mbinguni? “Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; lakini yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni” (Mathayo 7:21). Lakini watu wengine wanaamini kuwa kuyafuata mapenzi ya Baba wa mbinguni kunamaanisha tu kuwa mwaminifu kwa jina la Bwana, kumtumikia kwa bidii, na kuvumilia mateso ya kubeba msalaba, na kuwa tukifanya vitu hivi,