Jumatatu, 9 Aprili 2018
Jumapili, 8 Aprili 2018
Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu"
Muziki wa Akapela “Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu” 🎬Tazama zaidi: https://t.co/lT6eTYCBUj https://t.co/tDfd0t2V9A— Kanisa la Mwenyezi Mungu (@CAGchurchsw) 2018年4月7日
Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya “Kazi na Kuingia”
Sura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji
Mwenyezi Mungu alisema, 1. Tangu watu waanze kukanyaga njia sahihi ya maisha, kumekuwa na mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka vizuri. Bado wapo kwenye mkanganyiko kabisa kuhusu kazi ya Mungu, na kuhusu kiasi gani cha kazi wanapaswa kufanya. Hii, kwa upande mmoja, ni kwa sababu ya kuwa na uelekeo tofauti wa uzoefu wao na mipaka katika uwezo wao wa kupokea; kwa upande mwingine, ni kwa sababu kazi ya Mungu bado haijawaleta watu katika hatua hii.
Jumamosi, 7 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maoni Wanayopaswa Kushikilia Waumini
Mwenyezi Mungu alisema, Ni kitu gani ambacho mwanadamu amepokea tangu alipomwamini Mungu mara ya kwanza? Umejua kitu gani kumhusu Mungu? Umebadilika kiasi gani kwa sababu ya imani yako kwa Mungu? Sasa mnajua nyote ya kwamba imani ya mwanadamu katika Mungu si kwa ajili ya wokovu wa roho na ustawi wa mwili tu, wala si kuimarisha maisha yake kwa njia ya upendo wa Mungu,
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)