Jumapili, 8 Aprili 2018

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu"

Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Kumi ya Neno la Mungu juu ya “Kazi na Kuingia”

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa MasharikiSura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji

Mwenyezi Mungu alisema, 1. Tangu watu waanze kukanyaga njia sahihi ya maisha, kumekuwa na mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka vizuri. Bado wapo kwenye mkanganyiko kabisa kuhusu kazi ya Mungu, na kuhusu kiasi gani cha kazi wanapaswa kufanya. Hii, kwa upande mmoja, ni kwa sababu ya kuwa na uelekeo tofauti wa uzoefu wao na mipaka katika uwezo wao wa kupokea; kwa upande mwingine, ni kwa sababu kazi ya Mungu bado haijawaleta watu katika hatua hii.

Jumamosi, 7 Aprili 2018