Jumatano, 28 Machi 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Mbili

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Mbili

Mwenyezi Mungu alisema, Maneno ya Mungu huwaacha watu wakikuna vichwa vyao; ni kana kwamba, Anapozungumza, Mungu anaepukana na mwanadamu na kuzungumza na hewa, kana kwamba Hafikirii hata kidogo kuzingatia zaidi matendo ya mwanadamu, na Hatilii maanani kabisa kimo cha mwanadamu, kana kwamba maneno Anayozungumza hayaelekezwi kwa dhana za watu, lakini kuepukana na mwanadamu, kama lilivyokuwa kusudi la Mungu la asili.

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tatu

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Tatu

    Mwenyezi Mungu alisema, Kwa ukweli, kutegemea kile ambacho Mungu amefanya ndani ya watu, na kuwapa, na vilevile kile ambacho watu wanacho, inaweza kusemwa kwamba matakwa Yake kwa watu sio makubwa mno, kwamba hataki mengi kutoka kwao. Wangekosaje basi, kujaribu kumridhisha Mungu? Mungu humpa mwanadamu asilimia mia moja, lakini Huhitaji tu sehemu ndogo ya asilimia kutoka kwa watu—hii ni kuhitaji mengi sana?

Jumanne, 27 Machi 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Thelathini na Nne

Mwenyezi Mungu alisema, Wakati mmoja Nilimwalika mwanadamu kama mgeni nyumbani Kwangu, lakini alikimbia huku na huko kwa sababu ya miito Yangu–kama kwamba, badala ya kumwalika kama mgeni, Nilikuwa nimemleta kwenye eneo la kuuawa. Kwa hiyo, nyumba yangu inaachwa tupu, kwa maana mwanadamu ameepukana Nami daima, na daima amejilinda dhidi Yangu. Hili limeniacha bila njia yoyote ya kutekeleza sehemu ya kazi Yangu, ambalo ni kusema, ni kama kwamba Nimeirudisha karamu Niliyomtayarishia, kwa maana mwanadamu hayuko radhi kuifurahia karamu hii, na kwa hiyo Sitamlazimisha kufanya hivyo.