Jumapili, 11 Februari 2018

Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Mbili


Umeme wa Mashariki | Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Mbili
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wote wanapotilia maanani, wakati vitu vyote vinafanywa upya na kuhuishwa, wakati kila mtu anamtii Mungu bila shaka, na yuko tayari kubeba jukumu zito la mzigo wa Mungu—hapa ndipo wakati umeme wa mashariki unatoka, ukiangaza yote kutoka Mashariki hadi Magharibi, ukiyatisha yote ya ulimwengu na ujaji wa mwanga huu; na wakati huu, Mungu tena huanza maisha Yake mapya.

Jumamosi, 10 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko La Thelathini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko La Thelathini na Mbili
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wanapokusanyika pamoja na Mimi, moyo Wangu unajawa na furaha. Mara moja, Ninatoa baraka zilizo mkononi Mwangu miongoni mwa binadamu, ili watu waweze kukusanyika kwa mkutano na Mimi, na kutokuwa maadui wanaoniasi lakini marafiki wanaotangamana na Mimi. Hivyo, Mimi pia ni wa dhati kwa mwanadamu.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Nne

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Nne
Mwenyezi Mungu alisema, Ili kuwazuia watu wote kutiwa kiburi na kujisahau baada ya mabadiliko yao kutoka kwa ubaya hadi kwa uzuri, katika fungu la maneno la mwisho la matamshi ya Mungu, mara tu Mungu akishazungumza kuhusu matakwa yake ya juu zaidi kwa watu Wake—mara tu Mungu akishawaambia watu kuhusu mapenzi Yake katika hatua hii ya mpango wa usimamizi Wake—Mungu huwapa nafasi ya kuyatafakari maneno Yake, kuwasaidia kufanya uamuzi wa kuridhisha mapenzi ya Mungu mwishowe. Wakati ambapo hali za watu ni nzuri, Mungu huanza mara moja kuwauliza watu maswali kuhusu upande mwingine wa suala.

Ijumaa, 9 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"


Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake.
Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika.
Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu.
Kila siku ya maisha yetu sio bure.

Sura ya 49. Unapaswa Kuutumia Ukweli Kumaliza Hali Yako Hasi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Sura ya 49. Unapaswa Kuutumia Ukweli Kumaliza Hali Yako Hasi
Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wana hali hizi ambazo tumejadiliana hapo awali, hata ingawa si wazi kama hapo awali. Hii ni kwa sababu watu hawakuwa na ufahamu wowote wa ukweli wakati huo, na hawakuelewa chochote. Siku hizi, unasikiliza zaidi, na kwa kiwango cha chini kabisa, nyote mnaelewa baadhi ya mafundisho. Hata hivyo, una hali fulani zilizojikita ndani ambazo hazijafunuliwa.

Swahili Christian Testimony Video "Utamu katika Shida" | Mungu Ndiye Nguvu Wangu

Swahili Christian Testimony Video "Utamu katika Shida" | Mungu Ndiye Nguvu Wangu

Han Lu ni kiongozi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu katika China bara. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja na amepitia kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Anaelewa baadhi ya ukweli na anajua kwamba ni kupitia tu Kristo wa siku za mwisho, Mwenyezi Mungu, ndiyo mwanadamu ataweza kuwekwa huru kutoka dhambini na kuishi maisha yenye maana.