Jumatatu, 13 Novemba 2017
Unapaswa Kutayarisha Matendo Mema ya Kutosha Kwa ajili ya Hatima Yako | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu anasema:“ Nimefanya kazi nyingi miongoni mwenu na, bila shaka, Nimetamka mengi pia. Hata hivyo, Nahisi kwamba maneno na kazi Yangu havijatimiza lengo la kazi Yangu ya siku za mwisho kikamilifu. Maana, katika siku za mwisho, kazi Yangu si kwa ajili ya mtu au watu fulani, bali ni kwa manufaa ya kufafanua tabia Yangu asilia. Hata hivyo, kutokana na sababu nyingi—pengine ukosefu wa muda au shughuli nyingi za kazi—tabia Yangu haijamwezesha binadamu kunijua hata kidogo.
Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu
Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu |
Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu
Mwenyezi Mungu alisema,Kwa nini unamwamini Mungu? Watu wengi wanafadhaishwa na swali hili. Siku zote wana mitazamo tofauti kuhusu Mungu wa vitendo na Mungu wa mbinguni, jambo linaloonyesha kwamba wanamwamini Mungu sio ili wamtii, bali kupata manufaa fulani, au kuepuka mateso ya janga.
Jumapili, 12 Novemba 2017
Mbingu Mpya na Nchi imeonekana | "Ulimwengu na Eneo Kubwa Zamsifu Mungu"
Maisha Mapya Katika Ufalme - "Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja" (Video Rasmi ya Muziki) | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Maisha Mapya Katika Ufalme - "Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja" (Video Rasmi ya Muziki) | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja
Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu.
Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja
Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu.
Jumamosi, 11 Novemba 2017
Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?
Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu inaendelea kusonga mbele, na ingawa madhumuni ya kazi Yake bado hayajabadilika, njia anazozitumia kufanya kazi zinabadilika mara kwa mara, na hivyo pia wale wanaomfuata Mungu. Zaidi iwapo kazi ya Mungu, zaidi mwanadamu anakuja kumjua kwa kina Mungu, na tabia ya mwanadamu inabadilika ipasavyo pamoja na kazi Yake.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)