Jumatatu, 6 Novemba 2017
Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"
Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya | Kanisa la Mwenyezi Mungu |
Neno la Mungu | "Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya"
Mwenyezi Mungu alisema:Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaelekea kikomo, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnausubiri kuonekana kwa Mungu? Mnazitafuta nyayo za Mungu? Kuonekana kwa Mungu kunatamaniwa sana! Ni vigumu, kiasi gani kupata nyayo za Mungu!
Swahili Christian Movie Trailer | "Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China"
Swahili Christian Movie Trailer | "Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China"
Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini.
Swahili Christian Movie Trailer | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Kuficha Uhalifu"

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"
Kuhusu Biblia (4) | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Kuhusu Biblia (4)|Kanisa la Mwenyezi Mungu |
Kuhusu Biblia (4)
Watu wengi wanaamini kwamba kuelewa na kuwa na uwezo wa kufasiri Biblia ni sawa na kutafuta njia ya kweli—lakini, kimsingi, je, vitu ni rahisi sana? Hakuna anayejua uhalisia wa Biblia: kwamba si kitu chochote zaidi ya rekodi ya kihistoria ya kazi ya Mungu, na agano la hatua mbili zilizopita za kazi ya Mungu, na haikupatii ufahamu wa malengo ya kazi ya Mungu.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)