Jumatatu, 30 Oktoba 2017

Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote

Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote | Kanisa la Mwenyezi Mungu


     Kama washiriki wa jamii ya binadamu na Wakristo wamchao Mungu, ni jukumu na wajibu wetu wote kutoa akili na mwili wetu kwa kutimiza agizo la Mungu, kwani uhai wetu wote ulitoka kwa Mungu, na upo kwa sababu ya ukuu wa Mungu. Kama akili zetu na miili yetu si kwa ajili ya agizo la Mungu na si kwa sababu ya haki ya mwanadamu, basi nafsi zetu hazina thamani kwa wale waliokufa kishahidi kwa ajili ya agizo kwa Mungu, na thamani ndogo zaidi kwa Mungu, aliyetupa kila kitu.